S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William
Charles anajibu maswali haya
1. Charles William ni nani
2. Nini kilikuvutia kuingia kwenye fani ya habari
3. Changamoto gani ulizokumbana nazo katika safari yako hadi kufikia ulipo, na zipi zilizopo sasa
4. Wewe sio tu ni mmoja ya watangazaji maarufu Tanzania bali ni mmoja wa watu maarufu Tanzania. Je zipi ni faida za umaarufu huo. Na Je kuna hasara za umaarufu huo kama yes, ni zipi?
5. Mwisho, kama kijana na role model kwa vijana wenzio, una ushauri gani kwao hususan kwa wale wenye ndoto za kufikia sehemu kama uliyopo sasa.
TANGAZO: Pata kopi za vitabu "Ujasusi Ni Nini na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa (Sh 45,000/=) na "Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani na Anafanya Nini?" (Sh 20,000/=). Free delivery Dar, mikoani delivery sh 5,000/= kwa kila kitabu. M-Pesa 0767340975 jina Anna
Kwa walio nje ya Tanzania, vitabu vinapatikana hapa https://go.chahali.com/spybooks