Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Tisa: "AABD KiMMRUZ "
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Simulizi za Jasusi

Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Tisa: "AABD KiMMRUZ "

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Jul 20, 2024
∙ Paid
2

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Tisa: "AABD KiMMRUZ "
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Share
Get more from Evarist Chahali in the Substack app
Available for iOS and Android

Hii ni riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi. Matarajio ni kwamba riwaya hizi zitapelekea kuchapishwa kwa vitabu pindi zikimalizika.

Riwaya hii ya kwanza inaitwa Mtandao. Na makala hii inakuletea sehemu ya kumi na tisa.

Ili kupata mtiririko wa riwaya hii, unashauriwa usome sehemu 18 zilizopita ambazo links zake zipo kwenye makala hii

Simulizi za Jasusi

Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Nane: "April wa Arachuga "

Evarist Chahali
·
July 14, 2024
Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Nane: "April wa Arachuga "

Hii ni riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi. Matarajio ni kwamba riwaya hizi zitapelekea kuchapishwa kwa vitabu pindi zikimalizika. Riwaya hii ya kwanza inaitwa Mtandao. Na makala hii inakuletea sehemu ya kumi na nane. Ili kupata mtiririko wa riwaya hii, unashauriwa usome sehemu 17 zilizopita ambazo links zake zipo kwenye makala hii

Read full story

TANGAZO

Kwa walio nje ya Tanznia, vitabu vinapatikana HAPA


Aprili 5, 2023

Baada ya mapumziko tangu awasili Arusha siku iliyopita, Jasusi aliamua kuwa kufanya mambo manne.

Kwanza, alifanya mawasiliano na Mama kumjulisha kuwa amefika. Mawasiliano kati yao sio tu yalikuwa kwa namba ya siri bali pia app aliyoitumia Jasusi kumpigia Mama isingeweza kudukuliwa kwa namna yoyote ile.

Licha ya kumjulisha kuwa Mama kuwa amefika, Jasusi alitumia fursa hiyo pia kumpatia mkuu huyo wa nchi maelezo mafupi ya jinsi atakavyompatia taarifa endapo itahitajika kufanya hivyo.

“Mwanangu, hizo taarifa zisije kuniua kwa presha bure maana nimeshapitia misukosuko mingi. Lakini wewe ndio mtaalamu, utakapoona muhimu kunipa taarifa, basi hakuna tatizo,” alisema Mama.

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More