Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Nane: "April wa Arachuga "
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Simulizi za Jasusi

Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Nane: "April wa Arachuga "

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Jul 14, 2024
∙ Paid

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Nane: "April wa Arachuga "
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Share
Get more from Evarist Chahali in the Substack app
Available for iOS and Android

Hii ni riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi. Matarajio ni kwamba riwaya hizi zitapelekea kuchapishwa kwa vitabu pindi zikimalizika.

Riwaya hii ya kwanza inaitwa Mtandao. Na makala hii inakuletea sehemu ya kumi na nane.

Ili kupata mtiririko wa riwaya hii, unashauriwa usome sehemu 17 zilizopita ambazo links zake zipo kwenye makala hii

Simulizi za Jasusi

Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Saba: "Safari ya Kifo"

Evarist Chahali
·
June 16, 2024
Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Saba: "Safari ya Kifo"

Hii ni riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi. Matarajio ni kwamba riwaya hizi zitapelekea kuchapishwa kwa vitabu pindi zikimalizika. Riwaya hii ya kwanza inaitwa Mtandao. Na makala hii inakuletea sehemu ya kumi na saba. Ili kupata mtiririko wa riwaya hii, unashauriwa usome sehemu 16 zilizopita ambazo links zake zipo kwenye makala hii

Read full story

TANGAZO

Kwa walio nje ya Tanzania, vitabu vinapatikana HAPA


April 3, 2023

Safari ya Jasusi kutoka Dubai hadi Addis Ababa iligharimu masaa manne unusu. Alikaa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole kwa takriban masaa mawili kabla ya kupanda ndege ya kutoka hapo Ethiopia kuelekea Johannesburg, Afrika Kusini, safari iliyochukua masaa matano unusu hivi.

Alipofika Johannesburg alijisikia uchovu wa safari lakini alijimbia kimoyomoyo kuwa zege halilali, na kuamua kwamba asingelala hapo Afrika Kusini. Akachukua ndege nyingine hadi Nairobi, Kenya, safari iliyomgarimu masaa manne hivi.

Aliwasiliana na Yvonne aliyemshauri alale hapo Nairobi kwa usiku mmoja kisha kesho yake aelekee Tanzania kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Lakini bila kufahamu, kumbe Yvonne alikuwa amemwandalia surprise [kitu cha kushtukiza]. Japo alishafahamishwa na Yvonne kuwa atamtuma mtu wa kumpokea, hakumwambia wasifu wa mtu huyo, na Jasusi hakuona haja ya kumdadisi jasusi mwezie wa Kikenya kwa sababu maamuzi yake siku zote ni sahihi.

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More