Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya pili: Maongezi na mtoa habari
Hii ni riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi. Matarajio ni kwamba riwaya hizi zitapelekea kuchapishwa kwa vitabu pindi zikimalizika.
Riwaya hii ya kwanza inaitwa Mtandao. Na makala hii inakuletea sehemu ya pili.
Soma sehemu ya kwanza hapa
Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya kwanza: Ujumbe kutoka Ikulu
·
Hii ni riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi. Matarajio ni kwamba riwaya hizi zitapelekea kuchapishwa kwa vitabu pindi zikimalizika. Riwaya hii ya kwanza inaitwa Mtandao. Na makala hii inakuletea sehemu ya kwanza. Muhtasari Mtandao ni kundi la kisiasa linalodaiwa kuundwa miaka kadhaa huko nyuma nchini Tanzania kwa ajili ya kumwezesha mwanasiasa mmoja…