Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya kwanza: Ujumbe kutoka Ikulu
Hii ni riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi. Matarajio ni kwamba riwaya hizi zitapelekea kuchapishwa kwa vitabu pindi zikimalizika.
Riwaya hii ya kwanza inaitwa Mtandao. Na makala hii inakuletea sehemu ya kwanza.
Muhtasari
Mtandao ni kundi la kisiasa linalodaiwa kuundwa miaka kadhaa huko nyuma nchini Tanzania kwa ajili ya kumwezesha mwanasiasa mmoja…