Maridhiano Aliyoomba Mbowe "Yaanza Kuzaa…

Not so fast. Baadhi yetu tuliposikia ile kauli ya Mbowe kuhusu MARADHIANO tulijua anapoteza muda wake tu. Nilieleza kwa kirefu kuhusu MARADHIANO kwenye makala hii Na kabla wiki haijapita tangu Mbowe atoe rai hiyo kwa Jiwe, Jeshi la Polisi kwa maelekezo ya serikali ya CCM yamefikisha ujumbe kwa Mbowe na Chadema kwa ujumla kuwa hawana muda wa MARADHIANO na chama hicho, kama inavyojitanabaisha kwenye habari hii

Read →