Mahojiano Na Mwanasiasa Mkongwe wa Chadema Naโ€ฆ

Listen now (22 min) | Katika mahojiano haya, mwanasiasa mkongwe wa Chadema na upinzani kwa ujumla, Ally Bananga, anaeleza kwa kifupi ๐Ÿ‘‰ historia yake kisiasa, ๐Ÿ‘‰ hali ya kisiasa ilivyokuwa nchini Tanzania katika kipindi cha utawala wa Magufuli na jinsi "alivyosalimika," ๐Ÿ‘‰suala la wabunge wa viti maalum wa Chadema ambapo mmoja wa wabunge hao ni Hawa Bananga mke wa mhojiwa, ๐Ÿ‘‰ "vita" kati ya baadhi ya "wanaharakati wa mtandaoni" wakiungwa mkono na viongozi na wafuasi wa Chadema dhidi msanii Diamond Platnumz anayewania tuzo za BET, ๐Ÿ‘‰ utawala mpya wa Mama Samia na matajio, na ๐Ÿ‘‰njia mwafaka ya kupata katiba mpya

Listen โ†’