Madai Kuwa Bashite Alikuwa Dodoma Wakati Mbo…

Nimekutana na uzi mmoja wa mdau huko Jamii Forums kuhusu uwezekano kwamba Daudi Bashite anahusika na shambulio dhidi ya Mbowe Leo Jumanne 09 Juni 2020, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, aliandaa Mkutano na Madereva Bodaboda. Sijajua alitaka kuongelea nini, lakini ni kwamba aliwakusanya Madereva wote Bodaboda maeneo ya Leaders Club Wilayani Kinondoni mkoani Dar Es Salaam kuanzaia Saa Mbili asubuhi.

Read →