Baada ya mada ya utambulisho, twende kwenye mada nyingine katika mwendelezo (series) huu wa mada za "kukujengea uimara katika nyakati za hofu/shaka kama zama hizi za janga la korona." Lakini kabla sijaingia kwenye mada naomba kukusisitiza kitu kimoja muhimu. Afya yako si ya Magufuli wala serikali yake. Usiruhusu wakupangie nini cha kusoma/kutazama/kusikiliza.
Knowledge is Power: Jinsi Ya…

Create your profile
Only paid subscribers can comment on this post
Check your email
For your security, we need to re-authenticate you.
Click the link we sent to , or click here to sign in.