Jinsi ya Kufanya Tahajudi, Moja Ya Nyenzo…

Jana niliahidi kuwa muda ukiruhusu nitaeleza jinsi ya kufanya tahajudi (meditation). Tahajudi ni muhimu mno katika maeneo mbalimbali ya maisha yetu, lakini inakuwa na umuhimu wa kipekee katika nyakati za hofu na mashaka kama zama hizi za janga la korona.

Read →