Jinsi Kauli Za Magufuli Kuhusu Korona…

Nimekutana na bandiko hili la mdau mmoja huko Jamii Forums na nikaona nilifikishe kwenu kama lilivyo Kwanza niseme kuwa kuna makosa makubwa yanayofanywa na Administrators wa Jamii Firums kuunganisha mada nyingi kwa vile tu zote zimetaja Corona. Haya ni makosa makubwa. Hiki ni kipindi cha mapambano. Tuache threads nyingi za cotona kadiri inavyowezekana maana ndilo jambo kuu lililo mbele yetu kwa sasa. Tukifanya hivyo, JF nayo itakuwa imeshiriki kikamilifu kutoa mchango wake katuka maoambano dhidi ya corona.

Read →