Exclusive: Bashite aanza uharamia wake, "amfanyizia" kiongozi mmoja wa kitaifa ambaye Jasusi alitanabaisha awali kuwa Bashite anawinda nafasi ya kiongozi huyo
Ili kuelewa vema taarifa hii, unashauriwa kusoma uchambuzi wa kiintelijensia ufuatao
Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu Mama Samia kumteua Makonda kuwa mwenezi CCM, ni wadhifa wa mpito tu, anaandaliwa "makubwa zaidi".
·
Jana Oktoba 22 ya mwaka huu 2023, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangaza kumrejesha kada wake Paul Makonda katika medani za uongozi baada ya kumteua kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi. Uchambuzi huu wa kiintelijensia unabainisha sababu halisi zilizopelekea uteuzi huo sambamba na kudokeza kuhusu “makubwa yajayo”.
Bila shaka baada ya kusoma uchambuzi huo utakuwa katika nafasi nzuri ya kuunganisha dots katika makala hii.