Dear Magufuli, Iweje Athari Kwa Nchi 8 Ziwe…

Kwa mara nyingine tena, Rais Magufuli amewathibitishia Watanzania kuwa sio tu hahangaishwi na janga la korona bali pia hathamini uhai wao. Kama mzaha vile, baada ya kupotea tangu Machi 28 mwaka huu, jana aliibuka na kueleza kuwa serikali yake haitofunga mipaka na hakutokuwa na lockdown.

Read →