Askofu Aongelea Suala la Wanaharakati vs Ser…

SAKATA LA MHESHIMIWA ZITTO, SERIKALI NA BENKI YA DUNIA LITUFUNGUE MACHO KUHUSU UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KISIASA NCHINI Nimeona barua iliyoandikwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kwenda Benki ya Dunia kuiomba Benki hiyo izuie au iahirishe kutoa mkopo kwa Serikali ya Tanzania uliokuwa unaelekezwa katika sekta ya elimu nchini. Pia, nimesikiliza mahojiano kati ya Mheshimiwa Zitto na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kuhusiana na jambo hilo. Kwa ujumla Mheshimiwa Zitto ametoa tuhuma au sababu kadhaa zikiwemo;

Read →