Asanteni Sana

Kwanza naomba kuwafahamisha kuwa toleo la wiki hii la kijarida cha #MtuHatari kimeshatumwa kwenye inbox zenu. Lakini waweza pia kukisoma kwa KUBONYEZA HAPA. Leo ni Juni 30, siku moja kabla ya mabadiliko ya muundo wa #BaruaYaChahali (inayojumuisha vijarida vitano kwa wiki) hayajaanza rasmi hapo kesho. Nawashuruku nyote - mliojiunga kuwa wanachama baada ya kutoa michango yenu kulingana na uwezo wenu na hata mlioamua kutochangia.

Read →