Zanzibar: sakata la kufutwa mradi wenye thamani ya dola bilioni 1.6 latia doa maadhimisho ya miaka mitatu ya urais wa Dkt Mwinyi
Zanzibar: Wakati Rais Dkt Hussein Mwinyi akidhimisha miaka mitatu tangu aingie madarakani, serikali yake inalalamikiwa kuhusu kufutwa kwa ukodishaji wa uendelezaji wa majengo ya hoteli ya Blue Amber Resort yenye thamani ya dola bilioni 1.6, sawa na zaidi ya shilingi trilioni
Inahofiwa kwamba uamuzi hii itaumiza juhudi za kanda kuvutia uwekezaji wa kigen…