Yanayoendelea Ni Mchezo Wa Kuigiza Au Ni Mgogoro Halisi Ndani Ya CCM?

Mambo Ni Mengi Lakini Muda Ni Mchache

Wiki iliyopita inaweza kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu za matukio ya kisiasa nchi Tanzania kutokana na mambo kadhaa yaliyojiri ndani ya muda mchache. Tulianza na “Barua ya akina Kinana”

na wiki ikahitimishwa na January Makamba kuondolewa madarakani.

Moja ya maswali wanayojiuliza watu wengi ni kama haya yanayojiri ni mchezo wa kuigiza tu au ni ishara ya kweli ya matatizo ndani ya CCM.

Lakini wengine wana kiu tu ya kujua “what is next?”

Katika toleo la wiki hii la #BaruaYaChahali, mtumishi wako nimefanya uchambuzi wa kina wa kijasusi kuhusu yaliyojiri na kwenda mbali kutanabaisha “what is next” (nini kinafuata baada ya drama za wiki iliyopita).

Yote hayo yapo kwenye toleo la wiki hii la kijarida cha #BaruaYaChahali kilichotumwa kwa wanachama.

Unakaribishwa kuwa mwanachama wa #BaruaYaChahali yenye jumla ya vijarida vitano kwa wiki. Jinsi ya kujiunga: Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa m-pesa namba 0767632516 (jina Khadija Katule). Kwa walio nje ya Tanzania, unaweza kuchangia kwa KUBONYEZA HAPA.

Endapo unataka kuondolewa kwenye orodha ya wanaotumiwa #BaruaYaChahali JIONDOE HAPA.

Ndimi mtumishi wako

Evarist Chahali