Baraza la Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), kupitia tamko la tarehe 28 Aprili 2026 lililosainiwa na mwenyekiti wake Profesa Elgidius Bwinabona Ichumbaki, limeainisha kasoro 53 za kiutawala linazoziona kama chanzo cha msingi cha vurugu za baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania. Tamko hilo, lililotolewa siku tano baada ya Tume y…
Substack is the home for great culture


