Vita ya Israeli na Palestina: Mtanzania aliyekuwa anaishi 'kijiji' (kibbutz) kilichoshambuliwa na Hamas hajulikani alipo
Babake Mtanzania mwenye umri wa miaka 21, ambaye ametoweka tangu wanamgambo wa Hamas waliposhambulia kibbutz alichokuwa akiishi Israel, ameiambia BBC kuhusu uchungu wake, akimtaja mwanawe hadharani kwa mara ya kwanza.
"Mara ya mwisho nilizungumza na Joshua ilikuwa Alhamisi tarehe 5 Oktoba," anasema babake Loitu Mollel. "Nilisema, 'Kuwa na tabia yako bora…