Video Fupi Iliyotengenezwa Na Mtumishi Wako Kuhusu Hatua Unazopaswa Kuchukua dhidi ya Coronavirus

Video Kuhusu Hatua Unazopaswa Kuchukua dhidi ya Virusi Vya "Corona." Tafadhali share, gonga "like" na subscribe katika chaneli ya mtumishi wako 🙏

Take good care of yourself and others. Na usisahau sala/dua.

Ndimi mtumishi wako

Evarist Chahali