Share this post#UziWaTwita Maalum kwa Wanaotaka Kuacha Uvutaji Sigara Lakini Wanakwamawww.baruayachahali.comCopy linkTwitterFacebookEmail#UziWaTwita Maalum kwa Wanaotaka Kuacha Uvutaji Sigara Lakini WanakwamaEvarist ChahaliJun 25, 2020Share this post#UziWaTwita Maalum kwa Wanaotaka Kuacha Uvutaji Sigara Lakini Wanakwamawww.baruayachahali.comCopy linkTwitterFacebookEmailEvarist Chahali @Chahali#UziwaTwita mfupi kuhusu uvutaji wa sigara. Evarist Chahali @ChahaliNilikuwa mvutaji wa sigara kwa zaidi ya miaka 20 hadi nilipofanikiwa kuacha miaka minne iliyopita. Evarist Chahali @ChahaliKwa mujibu wa takwimu za mwishoni kabla sijafanikiwa kuacha uvutaji sigara, kwa siku nilivuta pakti moja, na kwa mwezi nilitumia wastani wa £200 (takriban sh Tsh 575,000/=) hivi. Hii inamaanisha matumizi ya sh milioni moja kwa miezi miwili kwenye sigara Evarist Chahali @ChahaliNa nilipofanikiwa kuacha, niliweza kuiona bayana fedha niliyoiokoa. Na kwa mujibu wa ushauri, nikatumia kiasi cha fedha hiyo "kujipongeza" kwa kununua matunda na vitu vingine ambavyo awali havikuwa muhimu kulinganisha na sigara Evarist Chahali @ChahaliNa ofkoz, hiyo takribani £200 niliyokuwa natumia kwenye sigara iliweza kufanya mambo mengine ya msingi zaidi. Evarist Chahali @ChahaliNikafanikiwa kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Kwa upende mmoja niliokoa fedha nilizokuwa natumia kununua sigara na upande wa pili niliinusuru afya yangu. Yes, uvutaji wa sigara ni moja ya vyanzo vikuu vya maradhi Evarist Chahali @ChahaliNa baada ya kuacha uvutaji wa sigara, niliandika kitabu cha kielektroniki (e-book) kuhusu uzoefu wangu na pia mwongozo kwa yeyote anayetaka kuacha kuvuta sigara. Kitabu husika ni hiki pichani Evarist Chahali @ChahaliUkihitaji, kinapatikana kwa bei nafuu ya £1.99 (takriban Tsh 6,000/= hivi). Link ya kununua ni hii flutterwave.com/pay/evaristcha… Ni salama haina usumbufu. Karibuni sanaFlutterwave - Evarist ChahaliEvarist Chahaliflutterwave.comNdimi mtumishi wako, Evarist Chahali
Create your profile
Only paid subscribers can comment on this post
Check your email
For your security, we need to re-authenticate you.
Click the link we sent to , or click here to sign in.