Uzi Wa Twita (Twitter Thread) 08.03.20: Kila Unachohitaji Kufahamu Kuhusu #Coronavirus
www.baruayachahali.com
Mtumishi wako amejibidiisha kukusanya maelezo ya kina kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona sambamba na ugonjwa unaosabanishwa na virusi hivyo wa COVID-19.