Wakati Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya kiuchumi kutokana na uhaba wa sukari na dola za kimarekani, ilhali “mgao wa milele wa umeme” ukiendelea bila dalili ya kupatikana ufumbuzi, kuna uwezekano wa Rais Samia Suluhu kufanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri.
Majuzi, wakati mamilioni ya watu duniani wakisherehekea “siku ya wapendanao,” …



