Utaratibu Wa Malipo

Maalum Kwa Wadau Wanaoulizia Kuhusu Utaratibu Husika

Samahani kwa wadau mliokwishachangia na wengineo ambao ujumbe huu hauwahusu. Ujumbe huu ni kwa ajili ya wadau kadhaa ambao nimekuwa nikipokea meseji zao wakiulizia utaratibu wa malipo ukoje.Kwa vile siwezi kumjibu kila mtu mmoja mmoja, naomba kutumia fursa hii kuweka tena maelezo husika kama ilivyo picha.

Kwa wadau walio nje ya Tanzania, malipo yanafanyika katika kwa KUBONYEZA HAPA.

Nawatakia siku na shughuli njema, na samahani kwa kuwasumbua msiohusika na ujumbe huu.

Ndimi mtumishi wenu

Evarist Chahali