Ushahidi dhahiri unaothibitisha kuwa kuzagaa kwa vitendo vya ushoga na usagaji nchini Tanzania kunachangiwa zaidi na unafiki kuliko "misaada kutoka nje"
Kabla ya kuingia kwa undani kwenye makala hii, ni muhimu kutahadharisha kuwa mjadala kuhusu vitendo vya ushoga na usagaji nchini Tanzania una hatari kuu tatu hivi.
Ya kwanza na pengine maarufu zaidi, ushoga ulitumika sana kipindi cha utawala wa Magufuli kama “silaha ya kisiasa” ambapo kila aliyeonekana kuwa mpinzani wa Magufuli aliitwa shoga.
Ya pili in…