Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Habari Za Zanzibar

Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Mpinzani wa Mama Samia kutoka Zanzibar?

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Nov 05, 2023
∙ Paid
Share
Get more from Evarist Chahali in the Substack app
Available for iOS and Android

Kwa kiasi kikubwa, siasa za Tanzania zimejikita zaidi kwenye chaguzi, hususan uchaguzi mkuu. Kwamba vyama vya siasa hutumia muda mwingi kujiandaa na chaguzi kiasi kwamba kuna dhana kwamba haviwatumikii wananchi vya kutosha kutokana na hilo.

Lakini lengo kuu la chama chochote cha siasa ni kushika dola. Na katika nchi za kidemokrasia, kushika dola kunaweze…

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture