Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Teknolojia

[Update] Kwaheri Twitter? Kampuni ya Meta inayomiliki Insta, FB na Whatsapp yazindua app mpya iitwayo THREADS inayolenga kuipiku Twitter

Jul 06, 2023
∙ Paid
Share
Read Barua Ya Chahali in the Substack app
Available for iOS and Android

Kampuni ya Meta, inayomiliki Facebook, Whatsapp na Instagram leo alfajiri imezindua app mpya iitwayo Threads, ambayo tayari inatajwa kama itakayoleta upinzani halisi dhidi ya Twitter.

App hiyo inakuja wakati Twitter ikiwa kwenye msukosuko mkubwa tangu iliponunuliwa na bilionea Elon Musk ambaye analaumiwa vikali kwa “kuungoroa” mtandao huo wa kijamii.

Lich…

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture