Ungana nami kwenye "Twita mpya" yaani Notes
Sehemu ya kujumuika
Hili lilikuwa bandiko langu la kwanza kwenye “mtandao mpya wa kijamii” wa Substack Notes. Hili lilikuwa bandiko langu la kwanza kwenye “mtandao hu mpya wa kijamii” wa ambao unaweza kuwa mbadala mwafaka wa Twita.
Notes ni jukwaa jipya kwa ajili ya kushea kila kitu kama unavyofanya Twita - bandiko fupi, nukuu, picha, na kadhalika. Nitakuwa nikitumia zaidi …



