Unamjua Aliyetengeneza Twiti Hii Feki?
Kuna mtu ame-photoshop “twiti” hiyo pichani akiwa na malengo makuu mawili. Moja ni kumchafua Zitto na pili ni kunifarakanisha na Zitto.
Pengine si suala linalokuhusu. Lakini pengine mgomvi wa mtumishi wako ni mgomvi wako pia. Kwahiyo, endapo wafahamu picha hii imeanzia wapi - nimeona huko Facebook kwenye magrupu ya Chadema - basi nitashukuru ukinitonya.…