Unabii wa Wachungaji Hawa Kuhusu "Yajayo Tanzania" Wawaingiza Matatizoni, Mmoja Atekwa, Mwingine Akamatwa
Wachungaji wawili wa madhehebu ya Kikristo wameingia matatizoni kufuatia ubashiri wao wa kinabii kuhusu yanayotarajiwa kutokea nchini Tanzania huko mbeleni.
Wakati mmoja wachungaji hao ameishia kutekwa na watu wasiojulikana, mwingine alikamatwa na polisi.
TANGAZO: Usisubiri kutekwa ndio ukumbe kwamba Jasusi aliandika kitabu hiki muhimu cha kukulinda katika zama hizi za Watu Wasiojulikana
Pata kopi yako leo HAPA
Sikiliza kwanza unabii uliowaingiza matatizoni kisha soma uchambuzi mfupi kuhusu matukio hayo mawili