Tunaishi zama ambapo habari, taarifa na kila kilichomo kati ya habari na taarifa vinatujia mfululizo.
Ukiingia Twita, ukienda Insta, ukipitia TikTok, ukitembelea YouTube hadithi ni hiyohiyo. Tunakutana na mambo mengi - baadhi ni muhimu japo mengi hulenga kuvuta tu attention yako.
Talking of attention, umeshawahi kusikia kitu kinachoitwa “attention economy…


