Ulinzi wa taarifa binafsi ni jambo muhimu lakini lisiwe kama ile sheria ya cybercrime 'inayowalinda viongozi pekee,' taarifa binafsi zenye maslahi kwa umma zinapaswa kuwa exempted
Jana Rais Samia Suluhu alizindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Kwamba hatua hiyo sio tu ni muhimu bali pia inastahuli kupongezwa, sio jambo la mjadala. Moja ya mahitaji muhumu zaidi ya binadamu ni haki ya kuwa na faragha. Na haki hiyo ipo kwenye wakati mgumu zaid…