Ujumbe Mfupi Kutoka Kwa Mtumishi Wako
Ni Kuhusu Utaratibu Wa Malipo Kwa Waliojisajili Uanachama Wa Barua Ya Chahali
Naomba kukusumbua kwa ujumbe huu ambao awali ulitumwa kwa baadhi ya walijojisajili upya kwenye muundo mpya wa kijarida chako. Kwa mliokwishapokea ujumbe huu, au mliokwishafanya malipo, naomba mniwie radhi kwa usumbufu wa kuwatumia tena. Lengo ni kufikisha ujumbe kwa watu wengi zaidi.
Pamoja na ujumbe huu ni access kwa vijarida viwili kati ya vitano kwa “…