Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Ujio wa Lissu Januari 25: Mtihani wa kwanza kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro
Copy link
Facebook
Email
Notes
More

Ujio wa Lissu Januari 25: Mtihani wa kwanza kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Jan 14, 2023
∙ Paid
4

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Ujio wa Lissu Januari 25: Mtihani wa kwanza kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
1
Share

Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, ametangaza kurudi nyumbani Januari 25 mwaka huu.

Twitter avatar for @ChademaTz
CHADEMA Tanzania @ChademaTz
"Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya Tanzania kwa mara nyingine tena siku ya Jumatano ya tarehe 25 Januari, 2023, majira ya saa saba na dakika 35 mchana." Mhe. Tundu Lissu
Image
3:26 PM ∙ Jan 13, 2023
422Likes56Retweets

Hii ni mara ya pili kwa Lissu kutangaza kurudi nyumbani, ambapo mwaka jana alieleza kuwa yeye na kiongozi mwingine wa chama hicho aliyepo hifadhini nchini Canada, Godbless Lema, wangerudi mnamo mwezi Machi 2022.

Kurudi kwa Lissu kutakuwa tukio la kwanza kubwa la kisiasa kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro, aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu mapema mwezi huu, kufuatia kung’olewa kwa mtangulizi wake Diwani Athumani.

Makala hii ya kiintelijensia inachambua ujio huo wa Lissu kama mtihani wa kwanza kwa Masoro katika wadhifa wake huo mpya, hasa ikizingatiwa kuwa mara kadhaa Lissu ameishutumu Idara ya Usalama wa Taifa sio tu kumhujumu yeye na chama chake bali pia kuihusisha na jaribio dhidi ya maisha yake Septemba 2017.

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More