🐞Mende wa Kijasusi Waliotengenezwa kwa Kutumia Akili Mnemba Waanza Kutumika Ujerumani
Ujerumani imeingia rasmi katika zama mpya za ujasusi hai kwa kutumia mende waliobadilishwa kibiolojia—yaani cyborg cockroaches—waliofungwa vifaa vya kiteknolojia vinavyowezesha ukusanyaji wa taarifa, mawasiliano ya siri, na mwelekeo wa mbali. Mradi huu wa kipekee unaotekelezwa na kampuni ya SWARM Biotactics unalenga kutumika katika shughuli za kiintelij…