Karibu katika mfululizo wa makala kuhusu ugaidi zilizosimama kwa wiki kadhaa kwa ajili ya mapumziko ya Krismasi na Mwaka Mpya
Hamasa ya kuandika makala hizi imetokana na mafanikio makubwa ya kitabu cha “Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani? Na Anafanya Nini?” ambacho kilitokana na mfululizo wa makala kama huu.



