Karibu katika mfululizo wa makala kuhusu ugaidi.
Hamasa ya kuandika makala hizi imetokana na mafanikio makubwa ya kitabu cha “Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani? Na Anafanya Nini?” ambacho kilitokana na mfululizo wa makala kama huu.
Kadhalika, hivi karibuni mwandishi alihitimisha mfululizo mwingine wa makala kuhusu "UJASUSI (espionage) ni Nini? Na MAJASUSI (spies) Wanafanya Kazi Gani Hasa?" ambao umepelekea kuchapishwa kitabu chenye jina hilohilo





