Ufafanuzi Kuhusu Utaratibu Wa Malipo

Kwanza, naomba kutanabaisha kuwa sipendi neno “malipo” kwa sababu tumishi wangu kwenu ni bure. Badala ya “malipo” nadhani neno stahili ni MCHANGO. Hata hivyo, kwa minajili ya ujumbe huu kwenu, naomba mniruhusu kutumia neno malipo.

Nimepokea meseji kadhaa kutoka kwa wengi wenu kuhusiana na utaratibu uliopo. Naomba kurudia tena maelezo mafupi.

Malipo kwa mwaka mzima ni sh 50,000 kwa vijarida vyote vitano au sh 5,000 kwa mwezi. Hata hivyo, ukijiskia kuchangia zaidi ya kiasi hicho, karibu sana. Malipo ni kwa m-pesa namba 0767-632-516 jina KHADIJA KATULA. Nitaomba unitumie baruapepe yenye details za malipo husika baada ya kulipa.

Kwa mlio nje ya Tanzania, au mnaotaka kuchangia kwa njia ya Visa au Mastercard, malipo yanafanyika kwa KUBONYEZA HAPA. Viwango vya malipo kwa kadi ni kwa USD, kwa mwaka ni USD 50 na kwa mwezi ni USD 5. Hivyo ni viwango vilivyowekwa na wamiliki wa jukwaa hili. I wish viwango hivi vingekuwa sawa na TZS equivalent lakini hilo lipo nje ya uwezo wangu kwa sasa.

Kama una swali, ushauri au chochote kile kuhusiana na utaratibu huu, niandikie evarist@tutanote.de au evarist@protonmail.ch

Samahani kwa usumbufu.

Ndimi mtumishi wako

Evarist Chahali