Uenyekiti Chadema: Jinsi 'Sanaa Za Kiza' (Dark Arts) Zinavyoweza Kutumika Kuiba Kura, na Namna Ya Kuzuwia
Chaguzi za ndani ndani ya vyama vya siasa mara nyingi huwa na ushindani mkali. Chaguzi hizi huamua mwelekeo wa uongozi na sera, hivyo kuwa sio tu kipimo cha nguvu za kisiasa bali pia kioo cha maadili ya kidemokrasia ndani ya chama. Kwa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, uchaguzi ujao wa uenyekiti uliopangwa kufanyika Januari 21, 2025, si…