Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Uenyekiti Chadema: Japo Mbowe hajatangaza nia, je kuna tofauti gani kati yake na Lissu, na nani anafaa zaidi?
Copy link
Facebook
Email
Notes
More

Uenyekiti Chadema: Japo Mbowe hajatangaza nia, je kuna tofauti gani kati yake na Lissu, na nani anafaa zaidi?

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Dec 14, 2024
∙ Paid
1

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Uenyekiti Chadema: Japo Mbowe hajatangaza nia, je kuna tofauti gani kati yake na Lissu, na nani anafaa zaidi?
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Share
Get more from Evarist Chahali in the Substack app
Available for iOS and Android

Juzi, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu alitangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho inayoshikiliwa na Mheshimiwa Freeman Mbowe.

Japo Mheshimiwa Mbowe hajatangaza endapo atawania nafasi hiyo, na hivyo kuchuana na Lissu, au la, makala hii inawalinganisha wanasiasa hao wakongwe wa siasa za upinzani nchini Tanzania.

Makala hii inaangalia vipengele vifuatavyo

  • Uzoefu wa kila mmoja wao

  • Nafasi za uongozi ambazo kila mmoja wao ameshika/anashika.

  • Mikakati ya kisiasa ya kila mmoja wao.

  • Changamoto ambazo kila mmoja amekutana nazo.

  • Mafanikio ya kisiasa ya kila mmoja.

  • Mtazamo wa kisiasa wa kila mmoja.

  • Uwezo wa kuongoza kwa kila mmoja.

  • Changamoto za sasa kwa kila mmoja.

  • Nani anafaa zaidi.

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More