Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki kuukataa mkataba wa bandari
Jana Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa tamko lake rasmi kuhusu mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na Imirati ya Dubai. Katika tamko hilo, Maaskofu hao wametamka bayana kuwa wanaukataa mkataba huo, kwa sababu mbalimbali.
Kabla ya kuingia kwenye uchambuzi kuhusu tamko hilo na impact yake sio tu kwenye mkataba huo bali kwa utawala wa Rais Samia Suluhu kwa ujumla, ni vema kulisikia tamko hilo katika video hii
Unaweza pia kusoma tamko hili hapa katika gazeti la mtandaoni la Habari Tanzania