Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mabadiliko kwenye baraza la mawaziri, teuzi/kuondolewa/kuhamishwa kwa watendaji kadhaa
Jana, Rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko mengine kwenye baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ya jana yamekuja siku 24 tu baada ya mabadiliko mengine kwenye baraza la mawaziri.
Kabla ya kuingia kwenye uchambuzi huu wa kiintelijensia, hapa chini ni orodha kamili ya walioteuliwa, walioondolewa na waliopangiwa vituo vingine.
TANGAZO
Taarifa za kiintelijensia zinaeleza kwamba uamuzi wa kumrejesha Profesa Kabudi umetokana na angalau sababu kuu tatu.