Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Uamuzi wa Lissu Kuwania Uenyekiti Chadema na Mustakabali Wake na Chama Hicho
Jana, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu alitangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa taifa wa chama hicho kikuu cha upinzani (kwa ukubwa).
Unaweza kuangalia hotuba yake nzima hapa chini wakati akaitangaza nia hiyo mbele ya waandishi wa habari.
Pamoja na mengine, uchambuzi huu wa kiintelijensia unagusia
Sababu ambazo Mheshimiwa Lissu hakuzitaja bayana jana ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa kwa yeye kuchukua uamuzi huo;
Endapo anayeshikilia nafasi ya unyekiti Mheshimiwa Freeman Mbowe atagombea tena na hali itakuwaje endapo kutakuwa na mchuano kati yao;
Wwezekano wa hujuma kutoka ndani na nje ya chama hicho dhidi ya dhamira hiyo ya Mheshimiwa Lissu,
Mustakabali wa yeye binafsi na chama hicho kwa ujumla.