Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Hatma ya Magufuli Kuhusiana na Korona, Pia makala yangu katika jarida la African Arguments

Habari wakuu,
Naomba kuwapatia kijitabu hiki cha kurasa 20 hivi chenye cuhambuzi wa kina kabisa kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kutokana na jinsi anavyodili na janga la korona.
Pakua chapisho hili HAPA
Pia kuna makala yangu imechapishwa kwenye gazeti tando la kimataifa la African Arguments. Isome HAPA.
Ndimi mtumishi wako.
Evarist Chahali