Uchambuzi Mfupi Kuhusu Uamuzi wa Lissu Kutangaza Kuwania Urais Mwaka Huu
ANGALIZO: Niliandika uchambuzi huu siku moja kabla ya shambulizi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema (Taifa), Mheshimiwa Freeman Mbowe. Japo nitafanya uchambuzi wa shambulizi hilo baadaye, lakini pengine ni muhimu kutanabaisha kuwa niliandika “...binafsi sintoshangaa kusikia Magufuli akimzuwia Lissu kugombea urais licha ya katiba kumruhusu…” na huenda “kuzui…