Barua Ya Chahali
Chahali Podcast
Uchambuzi Kuhusu Jaribio la Mauaji Dhidi ya Donald Trump
0:00
-9:01

Uchambuzi Kuhusu Jaribio la Mauaji Dhidi ya Donald Trump

1. Kilichojiri 2. Mhusika 3. Haki ya kikatiba kumiliki silaha Marekani inavyochangia mauaji holela 4. Trump kama mhanga wa kauli zake, mfano alivyohamasisha wafuasi wake kuvamia Kongresi Januaru 6, 2021 5. Zama za Fake, siasa za uhasama kati ya Republicans vs Democrats 6. Biden hahusiki lakini haijalishi alimradi watu wanaamini hivyo 7. Shinikizo dhidi ya Biden ajiondoe kuwania urais kama kisingizio kuwa amepanga kumuua Trump 8. Trump atanufaika na tukio hili 9. Kufeli kwa intelijensia 10. Uwezekano wa mkono kutoka nje na funzo kwa Tanzania kuhusu siasa za chuki

Discussion about this episode

User's avatar