#Uchaguzi2020: Huenda Huduma Hizi Zikawa Zinahitajika Kwa Chama Chenu Au Mgombea Wako/Wenu
Ni kipindi cha uchaguzi, na sie wenye ujuzi wa hili au lile twawajibika kupokea mahitaji ya watu/taasisi mbalimbali. Ni kwa minajili hiyo, naomba kuwasilisha ‘business card’ yangu hii pichani



Maelezo kamili yapo hapa https://chahali.carrd.co
Ndimi jasusi wako
Evarist Chahali