Uanachama Wa #BaruaYaChahali

Ujumbe huu hauwahusu waliokwishajiunga na uanachama.

Kwa minajili ya kukumbushana tu, kesho Juni 30, 2019 itakuwa siku ya mwisho kuwa mwanachama wa #BaruaYaChahali ambayo sasa inajumuisha vijarida vitano. Naomba ujumbe huu usitafsiriwe kama shinikizo kwa ambao hamjachukua hatua ya kujiunga bali ni kukumbushana tu.

Further details

Kwa anayejiskia kuwa mwanachama lakini yupo nje ya Tanzania, mchango unaweza kufanyika KWA KUBONYEZA HAPA.

Nawatakia wikiendi NJEMA,

Ndimi mtumishi wenu,

Evarist Chahali