#TwitterSpace: mjadala wa wazi kuhusu yanayoendelea huko Israeli na Palestina, leo Jumamosi Oktoba 21, saa 10 jioni muda wa Tanzania
TwitterSpace: Link https://twitter.com/i/spaces/1jMJgmbrXemKL?s=20
Mada: Yanayoendelea huko Israeli na Palestina
Siku: Leo Jumamosi Oktoba 21, 2023
Muda: Saa 10 jioni muda wa Tanzania.
Mgeni rasmi: kila atayehudhuria