#TwitterSpace: Maongezi na rubani maarufu, Captain @ariif, karibu ufahamu mengi kuhusu urubani na sekta ya usafiri wa anga (aviation) kwa ujumla. Leo saa 1 usiku Tz time.
Karibuni katika #TwitterSpace nyingine kwa wikiendi hii ambapo mgeni wetu leo ni rubani maarufu, kapteni Arif. Yeye ni miongoni mwa marubani wakongwe Tanzania, na mwanae pia ni rubani.
Karibu ufahamu mengi kuhusu taaluma hii adimu, ikiwa ni pamoja na jinsi gani mtu anaweza kutimiza ndoto ya kuwa rubani.
Ni leo Jumamosi ya Mei 27, 2023 saa moja usiku kwa saa za Tanzania.
Unaweza kuweka alarm hapa
Karibuni sana